Mafanikio ya maisha Yako ni makutano ya vitu vikuu vitatu ; Muda,Jitihada na Kudra. Muda ni wa wote . Jitihada ni za Kwako.Lakini Kudra ni majaaliwa....
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Kuna Akili Ya Kutafuta Pesa , Akili Ya Kutunza Pesa , Na Akili Ya Kuzalisha Pesa , hizo Ni Akili Tatu Tofauti ,
Hizi Skills Usipokuwa Kuwa Nazo Kama Kijana , Umeisha😁.
Kutoka Jan (2,778) hadi May (4,115) 2026 petrol imepanda zaidi ya TSh 1,300 ndani ya miezi minne tu. Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kwetu wananchi ila serikali badala yakuweka ruzuku kupunguza mfumuko wa bei wao wanafikiria kumjengea chalamila ofisi ya billion 10!
Ee Mungu, asante kwa zawadi ya uhai leo.
Niongoze katika mawazo, maneno, na matendo.
Nipe moyo wa shukrani na amani hata katikati ya changamoto.
Amina🙏🏼
Sometimes ukiwa kwenye mental or Emotional Instability, Choose Silence.
Acha ku communicate, ni nadra san kutoumiza watu na maneno ya uchungu ukiwa kwenye such a state.
Mwanamke wako ukigundua Ametoka na Mtu Mwengine atakuomba Msamaha si kwamba Anaumia Moyoni Hapana anakuomba kwasababu umegundua kama usingejua Angeendelea kukchapa kma kawaida ,Na Mwanamke mmoja Awezi kuwapenda Wanaume wawili , Mapenzi ayapaswi kuwa sababu ya kupoteza Utu wako ,