@kertelRabbitry@nhiftz@wizara_afyatz@bima_afyatz Waende wachukue Kadi zao kama walivyoambiwa, au watumie njia nyinginezo zilizoainishwa kwenye huu ufafanuzi wa @nhiftz , maana wamejitahidi sana kuweka njia tofauti tofauti ambazo si rahisi mtu kukosa mmojawapo au wapeni hizo namba wapige huduma kwa wateja wapewe msaada wa zaidi
@EddoLalika Semezana nae tu , Shemeji nimekuona live na picha zipo ushahidi kwahiyo husiponipa na mimi hivi karibuni nayamwaga kwa Mwanangu ๐คฃ๐คฃ๐ ๐