Baada ya kazi nzuri kwa kipindi cha mwaka mzima, leo Disemba 20, 2024 tumekabidhi rasmi nyumba 109 kwa ndugu zetu walioathiriwa na maporomoko ya tope mwezi Disemba mwaka jana wilayani Hanang, mkoani Manyara.
Uamuzi wa kujenga nyumba hizi umelenga kuwasaidia ndugu zetu hawa kurejea katika hali yao ya kawaida ya maisha baada ya changamoto ile, ambapo baadhi walipoteza ndugu, jamaa na marafiki, na wengine kupoteza kila walichokuwa nacho.
Nawatakia kila la kheri.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali, Tarime Group lenye wanachama 200, ambalo lipo eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha.
Dkt Nchimbi amewasili Arusha, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake kwenye mikoa mitano, ya Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga, akiwa amembatana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla pamoja na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndugu Rabia Hamid Abdallah.
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee
Ili litimie lile Andiko lisemalo, Mwenye nacho anaongezewa, asiye nacho atapokonywa hata kile kidogo alicho nacho, ilibidi Tatu Mwakarobo apitie kwenye njia ya mateso kwa kupata matumaini hewa, kumbe Makombe yanaipenda Yanga 😂
Leo Nimefungua program ya Elimu ya Stadi Za Maisha
Mradi huu ni Ushirikiano wa SERIKALI na CAMFED ambapo mradi Huu mpaka sasa Umegusa Halmashauri 35 na Lushoto Ikiwepo , pia mradi Huu umehusisha Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wa Walezi na Unasihi .
Ramadhan Brothers washindi wa American Got Talent juu ya kilele kirefu zaidi Barani Africa, Mlima Kilimanjaro 🔥🔥
Vote Vote for Mount Kilimanjaro as Africa's Leading Tourist Attraction.
📌 https://t.co/8e3fDcLMBt
Dalili ya kwanza kuwa Mungu amekuandaa kuivusha dunia, huanzia kwenye familia yako.
Hata unapohisi kuelemewa, usichoke. Endelea mbele kwa nguvu, wewe ni KIVUKO