Kuna mtu amekalia shamba ya my mum ya kununua for more than ten years I held that on hold and now am planning kuregeshea mum shamba yake soon, mama is happy
After a heavy day pale mjengo ndio naingia kwa my 2x6 bed na Not for Sale mattress za Olkalou.Mama Liam naye ameng'orota utadhani tingatinga. But nikipapasa vizuri naona amevalia short ya Denim jeans na amefunga adi mshipi. Jameni hii Kapendo napimiwa kama democracy ya Uganda ??