"Leo nina miaka karibu 94 sina siku nyingi kuiacha dunia. Sitaki niende huko nakoenda na aibu nyuma yangu. Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni. Basi eh ndugu zangu kuwa hadithi nzuri kwa hao wa kusimuliwa!" - Mzee Ali Hassan Mwinyi ❤️❣️🇹🇿🇹🇿🇹🇿