"WEKEZA KWENYE KILIMO?"
Taasisi ya Njombe Products ipo tayari kuendelea kushirikiana na wadau wote wa kwenye mnyororo wa kilimo kuanzia wauza pembejeo,wanunuzi,wabia na wakulima kiujumla.
Tunaamini kwa umoja wetu tunaweza kubadilisha dhana ya kilimo kuwa ni AJIRA kwa rika zote