@SimbaSCTanzania Poor perfomance... no shoot on target..
Toa Sowa, ingiza Mwalimu, toa mpanzu ingiza Chama acheze nyuma ya Mwalimu, kapombe ni tatizo simba.. japo hakuna mbadala.. kibu ambiwe awe anashuka kumsaidia... Nagu aambiwe aache kupiga mipira yake ya juu, yoye inapotea,
@SimbaSCTanzania Addition on that @moodewji umekuwa kiongozi for sometimes, sasa nimiaka mitano haujaleta mafanikio yoyote kwenye team, ni mwendelezo team inazidi kushuka kiwango, drop uongozi iache @SimbaSCTanzania ianze kuongozwa kama taasisi,
@SimbaSCTanzania Tunawahezaji wengi, wasio na ubora wa kuchezea simba..
Team imekosa uwezo wakupata wachezaji wenye hadhi za ukubwa wa Simba, inachokifanya ni kuokota okota wachezaji... matokeo yake ndo haya, hatuna mchezaji mwenue uwezo wakuamua matokeo... anyway na huu msimu hatuchukui ubingwa.
@SimbaSCTanzania Poor my team..๐๐
Team haina mchezaji ambae anauwezo wa kuamua matokea,. Inacheza vizuri, lakini haina plan yoyote...
Tunakoelekea kila team itachukua point tatu kwa simba.. Uongozi ukajitafakari.@SimbaSCTanzania