Jimbo yatima mkoa wa dar ni ukonga ndiyo jimbo lenye mitaa ya hovyo hovyo kuliko jimbo lolote mkoa wa dar hii imetokana na kukosa mb safi madiwani safi wenyeviti wa serikali za mitaa makini tunaenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tuchague viongozi bora sio bora viongozi
Nyie wapiga kura acheni ushabiki wakati wakuwachagu viongozi mkileta ushabiki munachagua washabiki badaya ya kuwachagua viongozi ushabiki kwenye siasa ni kushabiki maisha siasa ni maisha
Ukiona kiongozi anakosolewa usifikiri anaonewa na kufikiri eti mm namkosoa kwani mm nimeufanyia nn mtaa wangu ww subiri nawe huenda unakosolewa na mke wako humuongozi vizuri kokosolewa ni Afya
baba yako anakwambia eneo la kariakoo lote lilikuwa lakwangu nikaliuza lote nakawashauri wajenge magorofa ila mm sikubahatika ujenga gorofa kibanda changu ni hiki cha nyasitu na maeneo nimeuza yote j? Utamulizo swali gani kwa mufano