Tanzania ni kubwa mara 235 zaidi ya Cape Verde. Pia Idadi ya watu Tanzania ni takribani mara 117 zaidi ya Cape Verde, ambayo ina watu Laki 6 tu, lakini wao wameweza kushiriki World Cup na wamefuzu hatua ya mtoano ya 32 bora bila kupoteza mechi hata moja. Bongo tunakwama wapi?