*Zaburi 116:12-14*
Nimrudishie Bwana nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana; Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, Naam, mbele ya watu wake wote. Ina thamani machoni pa Bwana Mauti ya wacha Mungu wake.
#NenoLaUzima