Ingawa haipunguzi kiasi cha sukari kilichopo kwenye chakula chenyewe, Siki (Vinegar) husaidia kudhibiti Sukari mwilini kwa kuchelewesha usagaji wa chakula na kuzuia Sukari isipande kwa kasi kwenye damu baada ya kula
Ulikuwa unajua Mbinu hii kabla haujasikiliza hii video? Share nasi kwenye komenti
Video: Muhimbili TV
Watanzania wengi tunapenda kunywa vinywaji vya moto sana, hasa asubuhi au wakati wa baridi. Hata hivyo, tafiti zinaonesha kuwa kunywa vinywaji vyenye joto kali sana mara kwa mara (zaidi ya 65ยฐC) kunaweza kuongeza hatari ya saratani ya umio (Esophageal Cancer). Hii ni kwa sababu joto kali linaweza kuharibu tishu za umio kwa muda mrefu.
Wataalamu wanashauri kusubiri kinywaji kipoe kidogo kabla ya kunywa, badala ya kunywa kikiwa cha moto sana
Shirikisho la Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) limesema watetezi wawili wa haki za binadamu, Jackson Martine Kabalo na Joseph Chaviruka Mrindoko (Wachokonozi) wameachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Arumeru baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuleta mashahidi.
Washtakiwa hao walikabiliwa na mashitaka mawili: kuchapisha taarifa za uongo na kutoa maudhui ya mtandaoni bila leseni.
BEIA YA MAFUTA IMESHUKA katika soko la Dunia sasa wakati wa Kupanda inapanda ghaflayaani ikipanda asubuhi mchana lazima huku tupewe kipenyo lakini cha ajabu sasa Imeshuka wameanza longo longo eti wanaangalizia kushuka zaidi yaani imeshuka kwa Asilimia 20?! halafu bei zisibadilike? Hii ni maajabu
Ni kweli wengine hatukusoma hesabu na ukokotoaji wa hesabu nisuala la kitaaluma tulikimbilia somo la Siasa but the number is not adding hapa tunapigwa.
Hivi hata hili Wabunge pale Dodoma nalo mnashindwa kuwalinda wananchi?
BAK MWABUKUSI.
@Elsukay0 Nyuma yq city pub hiyo. Bararabara ukienda kushoto mbele unatokea stand ya malori kwenye wigo wa chuo cha TIA kulia nyuma ya hii barabara unatokea barabara inahoktoka vunja bei ambayo inaenda had stand ya chunya na tunduma pia
Hapo ulipo n nyuma ya shell ya puma zamani BP
Sasa fikiria kuna watu wanajiita wabunge wanatamba na ubunge ambao walipata kwa kumwaga damu za watu.
Asante MCHUNGAJI kwa kuja kuongeza sauti ya kukemea MAOVU kwenye nchi. Hujachelewa tunakutegemea kwenye hii safari ya kupambana na WAKOLONI WEUSI.
REPOST 200
All Paid Courses (Free for First 500 People)
๐ฃ๐ฎ๐ถ๐ฑ ๐๐ผ๐๐ฟ๐๐ฒ ๐๐ฅ๐๐ (PART - 1)
1. Artificial Intelligence
2. Machine Learning
3. Prompt Engineering
4. Claude,Chatgpt,Grok
5. Data Analytics
6. AWS Certified
7. Data Science
8. BIG DATA
9. Python
10. Ethical Hacking
(72 Hours only )
Like + RT + comment 'Dataโ
Must Follow @ahuja_priyank so that I can DM you.
All Paid Courses (Free for First 4500 People)
๐ฃ๐ฎ๐ถ๐ฑ ๐๐ผ๐๐ฟ๐๐ฒ ๐๐ฅ๐๐ (PART - 1)
1. Artificial Intelligence
2. Machine Learning
3. Prompt Engineering
4. Claude,Chatgpt,Grok
5. Data Analytics
6. AWS Certified
7. Data Science
8. BIG DATA
9. Python
10. Ethical Hacking
(72 Hours only )
Like + RT + comment ' Drive '
Must Follow me so I can DM you.