@MiriamMkanaka Kuna m1 wakati nyanya zimehadimika 1 buku yy akachelewa akaenda 1 day b4 vitu kurudi kweny hali ya kawaida kanunua box 130,000 ili auze 1 buku mara kesho yke vitu vimerudi bei ya kawaida sokoni box 30k mtaani fungu 300 tsh tamaa mbaya
@joeselasini Hii nchi imekuwa ya ovyo sana yaan mtoto wa Raisi ana jeshi lake ndani ya nchi na jeshi la kulinda amani lipo kimya....jamaa wanauwa raia na jeshi lipo kimya