Young Couples, achana na presha ya harusi, nenda kwa wazazi jitambulisheni, toa mahari, ombeni ridhaa ya wazazi muishi pamoja.
Start from scratch pamoja, set plans and priorities, hakikisheni mnazifikia.
There after mnaweza kuita ndugu na jamaa wa karibu na kusheherekea.