KENYA: Dkt Tatu Kamau amefungua kesi Mahakama Kuu akitaja ukekeaji uhalalishwe. Dkt Kamau amesema kuwa, wasichana (18+) wana haki ya kuruhusiwa kuchagua cha kufanya kwenye miili yao.
#FAHAMU
Dkt. Oluyinka Olutoye, Mnigeria anayeishi Marekani, amejipatia umaarufu mkubwa duniani baada ya kufanikiwa kumtoa mtoto ambaye hajazaliwa tumboni mwa mama yake, na kumfanyia upasuaji wa kutoa uvimbe, kisha kumrudisha tumboni mwa mama yake na baadaye kuzaliwa salama.
Klabu ya Yanga imeingia udhamini na kampuni ya vifaa vya michezo ya Macron,kampuni hiyo ndiyo watakaokuwa wakiivalisha klabu hiyo.Baada ya pande hizo mbili kusaini mkataba wa miaka mitatu kwenye thamani ya sh 932 kwa mwaka
While we are shit right now, I'm so proud of Arsenal Football Club that we always give the youth a chance. Watched yesterday's U23 game, so many Arsenal players already played for first team. Utd U23 I din't know anyone cause Jose is their manager. Proud to be a Gooner
#COYG
Katika mambo yanayonisononesha na sijui mstakabali wake ni suala la Malcom, Aubamiyang na Mukhitariyan. Hawa watu wananiumiza sana roho wananifanya muda wote kushinda kwenye web ya @Arsenal nikisubiri breaking news za wao kujiunga..... Amini usiamini Wenger anaweza kuwakosa wote
Heshima yenu @Tigo_TZ & @tanescoyetu! Juzi nimenunua LUKU kwa tiGO PESA hadi leo sijapata token za unit za umeme. Kama vipi mrudishe hiyo hela nicheze #BIKO au #TatuMzuka nijue moja kama kula au kuliwa.