Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa ufadhili wako wa ukarimu, ambao una jukumu muhimu katika kuendeleza dhamira ya taasisi yetu. Usaidizi wako hutatuwezesha kufanya matokeo ya maana na kuunda mabadiliko chanya katika jamii. Asante kwa kuwa sehemu muhimu ya safari yetu.
FACT
Njia ya kwenda kwenye mafanikio siku zote huwa haijakamilika, kwani imejaa vikwazo
Kama unataka kitu ambacho hujawahi kuwa nacho, lazima uwe tayari kufanya kitu ambacho hujawahi kufanya . #miriamodemba#miriamodembaquote
FACT
Njia ya kwenda kwenye mafanikio siku zote huwa haijakamilika, kwani imejaa vikwazo
Kama unataka kitu ambacho hujawahi kuwa nacho, lazima uwe tayari kufanya kitu ambacho hujawahi kufanya . #miriamodemba#miriamodembaquote
FACT
Kuwa na kasoro ni sehemu ya ubinadamu kukubali kuona kasoro ni Uungwana, kukubali kujirekebisha kutokana na kasoro ni ushujaaa na kuelimisha watu kwa ulicho jirekebisha ni ukarimu #miriamodemba#miriamodembaquote
Dua ni ile ile
MUNGU atuepushe na watu wasio jua kubembeleza
Atuweke mbali na wasio jua kutunza
Atulinde dhidi ya wabahili
Atuokoe kwenye mikono ya ving'ang'anizi
Asitukutanishe na wasio jua kujiongeza..
Amani ni zawadi ya thamani zaidi tunayoweza kuipata. Basi tunapaswa kuilinda kwa nguvu zote.
Amani huanzia ndani yetu. Tukiwa na Amani ya ndani Tunaweza kueneza Amani hata Ulimwengu mzima Tunaweza kubadilisha dunia tunayo iyona kwa kuchangia Amani.
Kama unatoka kwenye ukoo ambao hamna tamaduni ya kuweka vikao vya familia kujadili maendeleo, Changamoto na namna ya kusaidiana kujikwamua kiuchumi, Yani vikao vyenu nyie hadi kutokee msiba au sherehe, TAFUTA MARAFIKI NDUGU YANGU HAMNA MSAADA HAPO... #miriamodemba
Huzuni ni sauti ya maneno yasio semwa ndani ya kila mtu Kuna hadithi ya Ushindi Inayosubiri kuandikwa Tafakari 🧐
Kupumua toka January mpaka December sio masihara Embu tumia walau sekunde Chache Kumwambia MUNGU ASANTE.. #miriamodemba