Bado tuna matumaini na Taifa Stars
Jana tumepoteza lakini pia Zambia kapoteza mbele ya Niger 🇳🇪 ambao watu waliwabeza baada ya sisi kupata ushindi kwao
WHIZMO JE NDO MDHAMINI WA YANGA ?
Leo mapema wachezaji wa Yanga Sc wameabza safari kuelekea nchini Algeria 🇩🇿 tayari kwa mchezo wao dhidi ya CR Belouizdad Novemba 24, 2023
Wachezaji hao wameonekana wakiwa wamevalia jezi zenye nembo ya WHIZMO na sio Sportspesa
GAVI MSIMU HUU NDO BASI TENA
Kiungo wa Fc Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania 🇪🇸 Gavi amepata jeraha la goli ambalo litamuweka nje ya uwanja kwa miezi 7 mpaka 9 na hii inamaana atakosekana kwa Michezo yote iliyosalia msimu huu katika klabu yake ya Fc Barcelona
"Wachezaji wakubwa huwa wanapenda mechi kubwa kama hizi(Morocco), sisi kama Wachezaji tupo tayari kwa mchezo wa kesho licha ya kuwa utakuwa mgumu ila tumejipanga kufanya vizuri."
🗣 Maneno ya Air Manula
Mapinduzi ya soka
↩ Mamelodi Sundowns bingwa wa AFL
↩ Mamelodi Sundowns Ladies bingwa wa Klabu bingwa barani Afrika kwa upande wa wanawake
Tuzo zote wamechukua Tuzo ya Mchezaji bora kipa bora na Mfungaji zote zimekwenfa kwao
Je ndo Zama za waarabu zimeanza kupotea ?
Tanzania 🇹🇿 ipo katika mikono salama
↩ Haji Mnoga
↩ Morice Abraham
↩ Chasambi
↩ Novatus
↩ Mshery
↩ Clement
↩ Kibabage
↩ Mwenda
↩ Duchu
↩ M'mombwa
↩ Sopu
↩ Kelvin John
Kikosi cha timu ya taifa kinachoanza dhidi ya Niger
↩ Aishi Manula
↩ Haji Mnoga
↩ Novatus Dismas
↩ Job
↩ Nondo
↩ Bacca
↩ Bajana
↩ Feisal
↩ Msuva
↩ Mbwana
↩ M'mombwa
Matukio ya leo
○●Tanzania 🇹🇿 Taifa Stars leo itakuwa dimba kumenyana na Niger 🇳🇪 majira ya saa 1 jioni
●○Timu ya taifa ya Morocco 🇲🇦 imewasili nchini kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Tanzania 🇹🇿 Novemba 21
□●Dirisha la usajili kufunguliwa desemba 16
Tunaendelea
Matukio ya leo
↩ Yanga yapigwa faini ya Milioni 5
↩ Simba yapigwa faini ya Milioni 1
↩ Diarra apigwa faini laki 5
↩ Inonga apigwa faini laki 5
↩ Aucho afungiwa Michezo 3 na faini laki 5
↩ Kibu apigwa faini laki 5
Ni faini gani imekuumiza na ipo imekufurahisha ?
Mgeni rasmi ni Shabiki
Kuelekea katika mchezo wa Simba sc dhidi ya Asec Mimosas mchezo wa makundi mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika Novemba 25 Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba sc Ahmed Ally amesema mgeni rasmi siku hiyo ni mashabiki wa Simba sc
#Matukio
●Simba yatishia kuipeleka Yanga mahakamani kisa logo yao kutumika
○Simba inacheza mpira mzuri kuliko Wydad na Mamelodi
○Simba kuwapa THANK YOU wachezaji wasiojituma
●Simba kutangaza kocha mkubwa
○Simba ndo timu ya kwanza kufungua WhatsApp channel Tanzania
Jana uvumilivu ulimshinda Mateo Kovacic na kuamua kushangalia goli la kusawazisha la Chelsea goli likifungwa na Palmer kwa mkwaju wa penati na matokeo ya mwisho ni magoli 4-4
Kumbuka Kovacic alisajiliwa kutoka Chelsea katika dirisha kubwa huku Palmer nae akitokea Man City
Achana na Ubingwa wa Mamelodi achana na uwekezaji waliofanya katika kikosi chao achana na ubora wa wachezaji wao
Kuna huyu mtu Rulani Mokwena ndo siri ya mafanikio ya Mamelodi Sundowns uzuri ni kwamba ni mtoto wa Nyumbani kaleta kombe Nyumbani
Vijana wa Alonso wap serious sana msimu huu hawajapoteza mchezo hata mmoja msimu katika mashindano yote ambayo wameshiriki
Na kwenye ligi ya Bundesliga wao ndo vinara mpaka sasa
Je wanaweza kuvunja utawala wa Bayern Munich msimu huu?