@jokateM Be blessed mheshimiwa maana sio wote huweza kufanya ivo, kujali wengine hasa watoto kwa kuwapa nafasi ya kuwasikiliza wanayopenda kuona wanafanyiwa moja kwa moja ni kutengeneza jamii iliyobora yenye kuondikana na mioyo miovu, tazama walivyo na busara ya katika kuomba
2018 Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka, kibali na neema ya kumtumikia Yeye kwa kuongoza Watu Wake. Naomba azidi kunijalia Utulivu na Hekima katika uongozi wangu. Amina.