Washiriki wa Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali zinazowasilishwa kwenye mafunzo hayo yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Joseph Pande akitoa salamu na neno la utangulizi kwenye Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akifungua Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akifungua Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akifungua Mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 17 hadi 23Machi,2023.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akitoa taarifa ya Ujenzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa ziara ya kutembelea Mradi huo Mkoani Shinyanga iliyofanyika tarehe 15 Machi, 2023
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere ametembelea banda la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwenye Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki kwenye ufunguzi wa Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia tarehe 6 hadi 10 Desemba, 2022.
Wadau mbalimbali pamoja na wakazi wa Jiji la Dodoma wakiendelea kupata elimu juu ya masuala mbalimbali ya kisheria kutoka kwa Mawakili wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwenye Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika Jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea banda la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwenye Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia tarehe 6 hadi 10 Desemba, 2022
Mhe. Jaji Edwin Kakolaki wa Mahakama Kuu akishirikiana na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga, pamoja na taasisi nyingine ikiwemo Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya, NEMC, leo wamefanya zoezi la uteketezaji wa madawa ya kulevya jijini Dar es salaam.
Madawa ya kulevya yaliyokusanywa kuteketezwa Jijini Dar es salaam ambapo zoezi hilo liliongozwa na Mhe. Jaji Edwin Kakolaki wa Mahakama Kuu, kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya, NEMC, na Mawakili
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Edson Makallo akiwashukuru viongozi wa dini kwa namna wanavyoliombea Taifa letu, pamoja na wadau wengine waliofika katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.
Picha ya pamoja baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwa pamoja na baadhi ya mawakili wa Serikali Ofisi ya Taifa ya Mashtaka waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akisalimiana na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela amesema uwepo wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka utarahisisha upatikanaji wa huduma za kisheria kwa wananchi
Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe, akiwa pamoja na viongozi wengine.