Rais Samia angeweza kukemea tu kwa maneno haya matukio ya kuteka na kuua watu, pengine Mzee Ali Kibao angekuwa hai leo.
Lkn Rais @SuluhuSamia alisema ni drama.
Rais ni mnufaika wa haya matukio?
Viongozi wengine ni wanufaika wa haya matukio?
Ukimya wao ni majibu tosha.
UKAKAMAVU NA UCHAPAKAZI WA MTOTO UNATOKANA NA MALEZI.
MZAZI NA MLEZI FAHAMU YA KUWA.
Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha mabinti zako wamelala Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa Mke Bora kuliko wanao.
Kumtumikisha dada wa kazi apige deki, apike, afue nguo, aoshe vyombo wakati wanao wanaangalia TV. Ni kumuandaa mdada wa kazi kuwa Mwanamke anayewajibika kuliko wanao.
Kumuacha binti wa kazi aandae watoto kwenda shule, awaandalie uji mapema, awalishe, awasafishe wakati wanao wanacheza gemu kwenye simu au computer Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa Mama na Mlezi bora kwa watoto kuliko wanao.
Na kwakuwa yote hayo unayafanya kwa masimango na manyanyaso unamfanya mdada wa kazi kuwa jasiri na Mwenye Uwezo wa kuzikabili changamoto za ndoa yake kuliko wanao.
Ukimaliza kwa kusema mwanao akiwa hajui hayo yote, Ndoa ikiharibika mtazungukuka kutafuta mchawi kumbe nyinyi ndio mmeharibu ndoa za watoto wenu.
Mfumo wa elimu nchini China
Mkali, wenye ushindani na unaojenga mustakabali.
Kwa nini tusi ishi humu na sisi kupunguza utegemezi
Tazama Baadhi ya skills madogo walizo nazo
Video kwa comment 👇
“Mafanikio ya mtu hayakupunguzii kitu, bali huongeza uzuri wa dunia. Usie mharibifu wa ndoto za wengine, badala yake, kuwa mlinzi wa ndoto. Kuzima nyota ya mtu ni kama kupanda mbegu za chuki na uchungu, epuka hili.”
#NasahaZaAbdul
you prolly should skip this if you don’t like bitter pills but the truth is Generational wealth is close to be genetical thing , I mean if in your background there’s nobody with it the chance for you to have it is extremely low unless you are talented or doing illegal business.