Nilifungua hiyo App ya Binance Jana kuangalia my investment portfolio, niliamka hospitali nikipepetwa wakisema "Hii uchumi ya Ruto inafanya Hadi waluhya wafaint."
Mwenye aliniambie ninunue Bitcoin na pesa ya mahindi tulivunia Nyanyangu Shetani akulambe uso!
#NaneNaneMarch
Bwana forex trading haitaniua bwana.
How can I make 50k in two weeks of sweat and pain nikikaza my sitting instuments and loose it all in 5 minutes?
Hii shetani inataka niende nifanye kazi Saudi Arabia naikemea Kwa Jina la Yesu. It must Go!
#NaneNaneMarch