Kuibadilisha ni rahisi hata mwenyewe unaweza..
.
Maranyingi iko chini ya dashboard mbele upande wa abiria ukifungua ile cabin ya vimizigo vidogo dogo..
.
Utaikuta hapo ndani na Inapachuka kirahisi..
.
Thanks to RETWEET na wengine wapate hii Elimu..
.
Hapa utaokoa Afya na Pesa..
Mmenifurahisha sana Watoto wangu @serengetigirls kwa kuandika historia ya kufuzu kuingia robo fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya miaka 17 nchini India. Mmefanya jambo kubwa kwa nchi yetu Tanzania na nawatakia kheri katika hatua ya robo fainali.
Time to settle this..
Who has got the best kits for next season? 🤔
• Kaizer Chiefs 🇿🇦
• Yanga SC 🇹🇿
Retweet for Yanga and comment for Chiefs.
#amakhosi4life I #timuyawananchi