@HKigwangalla Aaaah Ila wew mwakigwangalla wew. Unamambo ya kipuuzi an cjui ata unachowazaga wew mda wote upo hku. Doh. Kweli we n kigwangalla ugwangwalwike
Wewe ni mpumbaf kabisa. Yaani mimi niue mwanangu kwa sababu gani sasa? Kwanza huwa siendagi kwa waganga, namuamini Mungu kwa kila kitu changu! Pili, napenda sana watoto! Ukijibu utumbo wa namna hii tena nakublock π¨
Mimi Binafsi nawaza. Hivi Mwenendo wa siasa baada ya kufukuzwa @BernardMembe..! Kutakua salama kweli. Au ccm imejitengenezea kitanzi. Lakini Najifariji kwamba. Serikali ina Nguvu. Labda..!
@HugoBomeseda@MariaSTsehai Ni kweli. Lakini sidhani kama kutakua na mabadiliko yeyote kwasababu serikali ikilipambania hili, itakuja kubanwa yenyewe baadae, viongozi watashtakiwa wakiwa madarakani na wakistaafu, maandamano, vikundi vya waasi, nk... Kwasab watu watakua wameelimika
@HugoBomeseda@MariaSTsehai Ni kweli. Lakini kumbka nchi hii bado inatengeneza watawaliwa. Ambao hawafundishwi kutetea haki zao. Hii n system nzima ya nchi. Hata walimu nao hawana ubora kutokana na system ya elimu nchini
@HKigwangalla Mh. Kigwangalla wewe ni Mtu mkubwa sana hapa nchini. Dhamana ya cheo chako ni kubwa. Unapoanza kujibizana jibizana na watu pasipo hekima ya Cheo chako Unaishangaza jamii.. Ijue nafasi uliyo nayo mzee au sio
@HugoBomeseda@MariaSTsehai Sasa hyo n system nzima ya Elimu ya bongo. Kama wamefika mpaka "O level" halaf hawajui kusoma na kuandika, wamepitaje hko kwote.!?