A smile for Throw back Thursday mambo vipi ikiwa leo ni Alhamisi ya Mahojiano Great entertainment ahead, na mazungumzo ya kuvutia @RadioCitizenFM@MunaiGenerali
Breaking News:
At least 13 people dead, 35 others injured after a Nairobi-bound bus collides head on with a trailer at Awasi in Kisumu County, police say.
@RadioCitizenFM
#MileleDrive Its a brand new week ndani ya Mileledrive unatutegea ukiwa wapi? Karibu as we drive home in style... @Luchivya @wilbrodanyamin @marryanne26

Imran Okoth: Shida kubwa ya wakaazi wa Kibra ni maji. Najua ni maeneo yapi ya Kibra yanakumbwa sana na ukosefu wa maji na swala hilo litapewa kipau mbele.
Wakaazi wa Kibra, je, ni kweli kuwa changamoto kubwa kwenu ni maji? #JamboKenya

Imran Okoth, mgombea kiti cha uongozi Kibra: Marehemu Ken Okoth alinifuata, mimi ndio nilikuwa mkubwa wake. Nilimsaidia na kazi nyingi sana na naelewa shida za wakaazi wa Kibra #JamboKenya