Niliwahi kuamini kwenye 2nd chance ila baadae nikafuta kabisa hilo swala baada ya matokeo mabaya ya kuwapa watu nafasi zaidi ya moja mara kwa mara na wanarudi kukutendea kinyume, na pengine vibaya zaidi ya nyuma yake.
Unaweza kuchagua au kufanya mema lakini yakakutana na bahati mbaya na unaweza kufanya makosa ila yakakutana na bahati nzuri-kwenye kila tunayoona yapo tusiyo ona, tunayofahamu yapo tusiyo faham- Muhimu Kumtanguliza Mungu kwakua yeye anaona na kufahamu yote
Kama umezaliwa familia yenye uchumi mdogo, na ukaona namna Wazazi wanajitahidi kutimiza majukumu ya msingi and slowly transforming family economy in to a better place, basi wala uhitaji miluzi mingi, you already the passwords, ��Good Financial Decisions”
MATATIZO yakikufika chunga sana Usiwaambie watu wengi matatizo yako. Wengi wao hawana nia ya kukusaidia. Kuwaambia watu wengi matatizo yako kunaweza kuharibu imani yako na ustawi wako wa kiakili, na wanaweza kuyatumia kama fimbo ya kukuchapia na kukudhihaki.
Heavenly Father, I fight my battles daily with the hope that one day, all my sufferings will end. I know that You are ahead of me, may I continue to trust You, Your plans, and promises, and the beautiful future that awaits me in Your presence. Amen.🕯️🙇🙏🏿❤
One day, your success will bring back all of the people who left you during the time of struggle, definitely not as friends or relationships again but as fans.
Good Morninh Hustler. @MalemboGlobal