@MwanzoTvPlus@ACTwazalendo Ili kujua kwanini ndugu zetu wamekufa tuwaulize waliokuwa wanaratibu maandamano. Wao ndo wanajua kilichopo nyuma ya haya yoye
Nafs zao zimefurahi lakini damu za Watanzania hazitawaacha salama. Wanaishi kwa anasa ughaibuni huku wakitumia mateso ya watu kujinufaisha. Wanawajaza sumu Watanzania wachukie Nchi yao na kuandamana, wakidai wanakomboa mali zao. Hongereni, mmepata mlichotaka — kwa gharama ya damu
‼️MADHARA SI YA LEO TU‼️
Kwanza uchumi wa wananchi unapoteza mwelekeo. Maduka yaliyovunjwa Oktoba 29 na siku zilizofuat n vyanzo vya kipato kw familia nyingi wazazi waliokuwa wanategemea biashara hizo kulipa ada za shule, kulisha family au kulipa kodi sasa wamebaki mikono mitupu
iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatano, Novemba 5, 2025.
Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
📍 Dodoma
▪️DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Walioandamana kwa Amani, walipofika Kimara walimkuta Mzee Allex akiwa na mtoto wakitoka kupiga kura, wakamuhoji Why umepiga kura wakamwambia ashuke na wakampa zawadi ya kulilemba gari lake (Pichani)
Yule Mzee alitumia haki ya Kikatiba ila walioandamana kwa amani wakampa zawadi.
Amani ni msingi wa maisha. Machafuko hayaleti ukombozi bali maumivu na hasara. Wanaotuchochea hawateseki, bali ni sisi wananchi wa kawaida tunaoumia. Tumeona vituo vikiteketea, huduma zikisitishwa, maisha yakikwama. Watanzania, tulinde amani yetu kwa nguvu zote.
Tanzania yetu imejengwa juu ya misingi imara ya amani na utulivu. Taifa letu, tangu tulipopata uhuru, limeendelea kuongozwa na viongozi wenye busara na hekima ambao wamekuwa wakitumia maarifa yao kuhakikisha tunadumisha amani, tunapata maendeleo, na uchumi wetu unaimarika ili maisha ya wananchi yawe bora.
Viongozi wetu wamekuwa wakifanya jitihada kubwa kuboresha miundombinu mbalimbali ili kurahisisha shughuli za kila siku za wananchi na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa letu.
Hata hivyo, kumekuwa na jitihada za makusudi kutoka CHADEMA pamoja na baadhi ya wanaharakati wanaotumiwa na mataifa ya Magharibi, ambao wamekuwa wakichochea vurugu na kujaribu kuvuruga utulivu wa nchi yetu. Haya yote yanatokana na wivu na kushindwa kwa muda mrefu kutuchonganisha, na sasa wameamua kutumia watu wetu wa ndani, na hata kukodi vijana kutoka nje ya nchi, ili kuchochea vurugu na uharibifu wa mali za umma.
Uharibifu huu unaweza kuchukua miaka mingi kurekebishwa. Kwa hali hii, ipo haja kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza upya usajili wa CHADEMA, kuwachukulia hatua kali ikiwemo kufutwa kwa chama hichi na kuwawajibisha wote waliohusika katika vitendo vya uharibifu na uchochezi huu.