Nilijifunza kupumua tena... polepole,Hata pale maish aliponilemea kifuani Nilijifunza kusimama,
Hata miguu ilipokuwa ikitetemeka
Na mawazo yakiwa ya dhoruba.Nikiwa na roho iliyochoka,Laini moyo wenye tumaini...Nilichagua njia yangu mwenyewe.
Tulivu,Laini,Lakini isiyozuilika.
HAPPY SUNDAY!
Nikuambie Tu Maisna Ndiyo Haya Haya Na Furaha Ya Kweli Haipo Kwenye Mali Usisubiri Mpaka Uwe Tajiri Ndio Uwe Na Furaha, Kila Silu Ukiamka Salama Shukuru Mungu Ni Neema Tu Na Zawadi Umeamka Salama, Kumbuka Tulikuja Watupu Na Hakuna Tutachoondoka Nacho Be Grateful.
@Dr_DGwajima Mama Angu Kipenzi Mungu Akubariki Sanaa Mimi Naishi Zangu Hapa Kijitonyama Huku Nasoma Chuo Sasa Mama Leo Nilikuwa Na Uhitaji Nipate Hata Chochote Kitu.....!
Mungu Atakubariki Sana Mama Angu ππΎ
@Sirjeff_D Unasikia Kaka Angu ,
Kula Sana Chipsi In Your 30s
Kula Sana Mayai In Your 30s
Endesha Sana Jaguar In Your 30s
Hakuna Mtu Atayeku Judge Waty Watasema Umekuwa Mtu Mzima.
Kamata Hii Leo,
Kabla Ya Hujaanza Kukata Tamaa Fikiria Yule Mtu Yupo Hospitalini Hawezi Hata Shika Kikombe Cha Uji, Kila Kitu Anafanyiwa, Huenda Unapitia Changamoto Nyingi Za Maisha,Uchumi,Elimu, MAHUSIANO Usikate Tamaa Mungu Hajakutoa Huko Kote Akuishie Njiani, Muamini Tu π.
All About Today!
Tunatamani Kusoma, Tukishasoma Tunaanza Kubeza Elimu, Tunatamani Kupendwa Tukishapendwa Tunawachukulia Poa Wanaotupenda, Tunatafuta Kazi Tukishazipata Tunaanza Kufanya Yasiyohusiana Na Kazi, Tunatamani Tusichonacho Hatuthamini Tulichonacho β
Written By Paul.
A Blessing Saturday!
Usiruhusu Kitu Chochote Kikufanye Uwe Mtumwa Was Hasira, Uchungu, Kutosamehe,Kujikataa Nguvu Ya Kuyapinga Yote Ipo Ndani Mwako Jipe Furaha Usiruhusu Kabisa Ulale Na Hasira....... βοΈ.
All About Today!
Jifunze Kuwa, Unaweza Kuwa Na Umuhimu Kwa Mtu Kwenye Eneo La Kazi Lakini Asikupe Umuhimu Kwenye Mambo Yake Ya Familia Ukomavu Ni Pamoja Na Kujua Kuwa Sio Lazima Kuhusishwa Kwenye Kila Jambo, Jifunze Kupunguza Matarajio, Itakusaidia Kupunguza Maumivu Uwe Na Amani
Before Starting Saturday!
Kuna Hii Kitu Inaitwa "Neema" ikija Kwenye Maisha Yako Mambo Yanabadilika, Hauwi Tena Yule Wa Zamani! Milango Inafunguka Na Baraka Nyingi Sana Zjnakuja Maishani Mwako! Haiangalii Umri,Cheo, Rangi, Vyeti Mungu Akisema Ndiyo Hakuna Wa Kusema Hapana π.
All About Monday
Wewe Ni Binadamu Sio Mungu Hautaweza Kufanya Kila Kitu Kwa Kila Mtu, Mungu Tu Ndio "Omnipotent" Muweza Wa Yote Wewe Binadamu Hauwezi Yote Jifunze Kusema Hapana Pale Unapona Hauwezi Bila Kujiskia Kuhukumiwa Moyoni Kuna Ambao Hawatakuelewa, Ila Itakusaidia Maishan
"I Am Not Good Enough" Ni Moja Ya Sentensi Ambayo Inaeza Kukuzuia Kufanya Mambo Mengi, Makubwa Kwenye Maisha Yako, Baada Ya Kupitia Changamoto Za Maisha Kufeli, Kukataliwa, Usipoamua Kuchukua Hatua Unaeza Kujikuta Unaishia Kuwa Mdogo, Wakati Mungu Amepanga Mengi Makubwa π