Tunaishi kwenye dunia yenye kasi, kiasi kwamba kile umesoma chuo mwaka wa kwanza kinaweza kuwa kimepitwa na wakati ukiwa mwaka wa tatu, au degree yako imepitwa kabla ya siku ya graduation- jibu nikuwa mwanafunzi kila siku- kuwa mpya kila siku ongeza ulipo ishia jana