Ahsanteni watu wa jamuhuri ya Twitter, ni muda mfupi sana kufikisha 60K.
Nilichovuna narudisha upendo kwenu, leo nitamfollow Mtu yoyote atakae #Retweet post hii.
Wabunge wanalipwa 12,000,000 kwa mwezi sawa na 400,000 kwa siku. Halafu wanaenda bungeni eti hawana maswali ya kumuuliza waziri mkuu ilihali taifa linamatatizo lukuki. Kweli wahenga walisema, aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa na masikini akipata matako hulia mbwata.
Miezi 5 imepita @TumeUchaguziTZ haijajibu barua niliyowaandikia kutaka watuambie ni nani aliyewasilisha orodha ya majina NEC, ni nani aliyesaini sehemu ya Katibu Mkuu kwenye fomu na. 8D za #Wasaliti19 waliofukuzwa @ChademaTz na kutoa nakala ya nyaraka tajwa.
Kauli patanishi na unganishi za Rais @SuluhuSamia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
Nimehuzunishwa na kifo cha Teddy Mapunda. Tumepoteza Mwanamke hodari, mchapakazi, mbunifu, mahiri na aliyedhibitisha kwa vitendo kuwa Wanawake wanaweza. Nitamkumbuka kwa jinsi alivyojitoa kwa Chama na Serikali na alivyoipenda nchi yake. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina
"Katibu Mkuu wa Chama chochote unaponiandikia jambo lenye mgogoro unaotoka kwako, usiniandikie kipeperushi. Katibu Mkuu aandike barua ikiambatanishwa na Katiba ya chama chake pamoja na muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi. Kazi yangu mojawapo ni kuwalinda wabunge" Spika Ndugai
Ndoa ya Tajiri wa Dunia Bill Gates iliyodumu kwa miaka 27 na kupata Watoto watatu imetangazwa kufika mwisho, hii inakua ndoa nyingine ya Tajiri wa dunia kuvunjika ndani ya miaka mitatu baada ya Jeff Bezos April 2019 baada ya kudumu kwa miaka 25 na Watoto wanne. #MillardAyoUPDATES
Issue ninavyoelewa kutoka kwa Zitto ni hii:
“Mpeni Samia Suluhu muda maana hajajiandaa”
My point is this:
“Usiwe APOLOGIST.”
Anauwezo. Anauelewa mfumo na tuna HAKI ya kutegemea mabadiliko.
She has no choice but to hit the ground running.
Nadhani hapo ndipo tumetafautiana.
#PICHA:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mhe. Philip Mpango Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021.