🚀 Championing Gender Equality | Highlighting Women’s Achievements 🌟 | Advocate for Social Justice 📢 | Inspiring Change, Motivational, One Story at a Time
Ule Uchaguzi wa Rais wa Tanzania, Oktoba, 2015 Uliokuwa na Ushindani na Ambao hautasahaulika na matokeo yake yalikuja kwa kushangaza.
1. Dk. John Pombe Joseph Magufuli (CCM) - 8,882,935 (58.46%)
2. Edward Ngoyai Lowassa (CHADEMA) - 6,072,848 (39.97%)
3. Anna Elisha Mghwira
Mvulana unao uwezo wa kumshauri na kumsaidia msichana asipate mimba katika umri mdogo, hivyo basi, chukua hatua ya kusambaza taarifa za uwepo wa huduma rafiki za afya ya uzazi na kuzuia mimba zilizopo kwenye eneo lako.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Madam Ritta ndo alikuwa mtu wa kwanza kumuamini @JabirSaleh kuwa anajua kutangaza badae akaanza kumpa session kwenye BSS.
Baadae Jabir akaja kuwa mtangazaji mkubwa kwenye media
Mtaa 107- Ufm
Mungu Baba Umenijaribu Na Majaribu Mengi Sana Na Nimeshinda Sasa Naomba Unijaribu Na Toyota Crown Naahidi Nitayashinda Majaribu Ya Kubeba Wanawake Hovyo Isipokuwa Mwanamke Wangu Tu…!!😂😂😂
Ukiwa masikini lengo la mkopo ni kutatua matatizo yako na sio kufanya biashara izalishe ulipe mkopo ndo maana lazima ufeli kurudisha
Au utakopa sehemu nyingine kulipa mkopo so maisha yako yatakuwa ni mkopo mkopo tu.
Did you know?
Only one day remains until, ISEF Africa is coming to Dar es Salaam.
Are you looking for an international school in Africa or overseas? Join us this Saturday, 23rd May 2026, at Serena Hotel, Dar es Salaam, and meet leading schools, colleges, universities, and education partners in one place.
Entry is free. Register here to attend:
https://t.co/Ch8dFm1vLo