District Transport Officer of Mwanga in Kilimanjaro Region, Former Acting Ugweno D.O and WEO. Bachelor degree in Political Science and Public Administration.
@PKishamba Hizi ni hasara kubwa wanaingizia Club hawa Viongozi, pesa za kuvunja mkataba wangetuliza kichwa kipindi hicho wangeleta watu wa Maana! Sasa kama huyu naye anaondoka mmmmmh!viongozi waombe tu usajili wao uwe mzuri vinginevyo hatutawaelewa kabisaaa
Ahsanteni nyote kwa salamu za kheri, umoja na upendo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Nchi yetu imepiga hatua kubwa katika kuufikia usawa wa kijinsia ikiwa ni sehemu ya kazi ya kujenga Tanzania jumuishi yenye ustawi, haki na isiyo na ubaguzi kwa sababu zozote zile ziwe za kidini, kikanda, kiitikadi au kijinsia.
Siku hii pia ni fursa kwetu kutathmini mafanikio makubwa tunayoendelea kuyapata katika sekta mbalimbali, yanayohakikisha kila msichana na mwanamke anapata nafasi ya kufikia ndoto zake. Mafanikio haya ni pamoja na hatua kubwa tuliyopiga katika sekta ya elimu na sekta ya afya, ambazo zimeweka msingi imara na mwanzo madhubuti katika safari yetu ya mafanikio.
Mwenge wa Uhuru 2024 umewasili Mkoani Njombe, na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amenikabidhi Mwenge wa Uhuru- ili Mwenge wa Uhuru ukimbizwe Wilayani Ludewa
Mwenge wa Uhuru umekimbizwa kwa Umbali wa Kilometa 93 Wilayani Ludewa; ukipitia Miradi 7 yenye thamani ya Jumla ya Tsh 8,721,001,010.35
Miradi hii ya Maendeleo ni miradi ya Sekta za Afya, Maji, Elimu, Miundombinu- Mazingira.
Kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024:
โTunza mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevuโ
Tarehe 16/06/2024
#MwengeWaUhuru #MwengeWaUhuru2024 #Ludewa #LudewaYetu #Njombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.
@swahilitimes Binafsi siafiki kauli hii! Zaidi kama vijana inatupasa kujikita na kuisa Jamii juu ya matumizi mazuri ya mitandao ikiwa ni sambamba na kutoa mikakati thabiti namna gani vijana na Jamii tunaweza kupambana dhidi ya kujikomboa kiuchumi kama wananchi na kama Taifa.