@HecheJohn Hii nchi,ni maaajabu kabisa.Yaani unapeleka msikitini ili wa msikiti waseme wanabughudhiwa?Mushindwe kwa Jina la Yesu.Msikiti watafurahi sana Tena watajaa wakisingizia wanaswali kumbe wanakula ujumbe ulioshiba.Chawa kabisa.
@lifeofmshaba Yooote 9,10 ccm imejipenyeza cdm ili kuharibu upinzani,sishangai ya lisu kwa kuwa sikustaajabu ya msigwa.Muda ndio kipimo.Acheni kufokeana humu,Siri aliyonayo lisu na ccm hamuijui,nyuma ya pazia Kuna makubwa.
@tanescoyetutz Ukweli HAO sijui wafanyakazi au vibarua,dah,wanatukana utadhani hawana wazazi,ndugu,jamaa au familia,yaani ningelikuwa Rais wafanyakazi wote wanapofanya kazi ngumu ningewaweka wahadzabe,kulaleki,mbona jeshi miaka ya nyuma ni wakurya.
@CrownMediaTZ Mnashangaa Nini?Si katoa pikipiki kwa makatibu ccm kata Dunia sorry,nchi nzima,zote Zina chapa ya ssh,jiulize,hiyo ccm inapata wapi fedha?na kwanini ziwe na chapa ya ssh?Mimi ninacho ona mama anapelekwa dampo na HAO chawa wake,ajiulize Γ1000,magu alikuwa tishio,lakini Kiko wapi
@MsigwaPeter Anayejua ni mpango wa Mungu ni Mungu MWENYEWE,hata waganga wanapofanya mambo Yao,huwaambia wateja tumwombe Mungu,lakini kama umesoma chechnia,utajua ni Mungu yupi mganga anamsemea.