@nyuki_malkia Hivi tatizo lilikuwa ni soko au mahesabu ya kwenye daftari hayakuendana na uhalisia? Maana kuna jamaa nilisomaga naye masters alikuwa anafanya kilimo cha matikiti, na alioa hata kabla hatujamaliza, na alienda hnymoon Dubai. Nadhani kuna umuhimu wa kuwa na forum ya lessons learned
@nyuki_malkia Ina umizaa sanaaaaa serekali iii yangalie uuzaji wa mazao masokoni na na madalali wana wanynya Sana wakulima mim wamenifirisi n Sina hamu na kilimo kiufupi wakulima huu mwaka wamekata mitaj na wanatesek bei za mazao hazitaabirk ...f*ck inaumizaaaaaaaaaaaaaaaaaa😭
@nyuki_malkia Yani unapambh kulima zao kwa hatua zote una pambhan kulinda zao na dawa za gharama ila ukifika sokoni madalali wana shusha bei Wana uza Wanavyo taka wao na Bado kila tikit moja Wana kukata 200 mpka 300 haijalishi Lita aribika au Lita uzikaan we una mpa Hela yake
@nyuki_malkia Mama angu na hususa ni mwakaaa huuu kilimo hicho kina ela tehna Sana ila ubaya wake ni wizi na. Utapeli unao endeleaaa masokoni hususa ni kwa madalali ni wezi na wan kula zulma mpaka wew ulie Lima una changanyikiwa wanakukat Hela nyingi bila kuangali chngamoto unazo zipitia
"Kikosi kazi tulikuwa tunakutana kila mwezi. Na pesa tulikuwa tunalipa ukienda kwenye kikao. Na bahati nzuri tulikuwa na wajumbe ambao walikuwa wakijitolea sana. Hawakujali malipo wala muda wao walisema wanafanya kazi waliyopewa na Rais Kwa maslahi ya Taifa letu" Hamad Rashid