@Sativa255 Hiyo kamati kuu inawatu wanapenda utajili wadamu nakufikili watanganyika niwajinga naninavyo mjua mungu kwakipindihiki ukindenda zambi utaumbuka walimsafisha sana mungu kaenda kumwingiawana familia kaongeaukweri mwa zo walikuwa wanakana sasa jambolikopeupe wameumbuka nawakilisha
@MariaSTsehai Tutashereke sio mwezi wara wiki taifa la yesu kristo Tanganyika yangu nakupenda nakupenda Roho mtakatifu umewanyima wehekima umewafunulia watoto wadogo Hawa jambo hiliasante yesu kutusaidia watanganyika
@Sativa255 Sativa unauchungu sana na watanganyika Kila mtu Jana kusika habari ya mwaipaja tumeugua tunaria hatujui tufanyeje kuiokoa Tanganyika nahuyu mnyarwanda mafwele tumechoka mtu anachukuliwa kama kuku bandani hifi nikweri Tanganyika Babu zetu walipigana vita ya majimaji tujiandae
@MariaSTsehai Tunataka tujue wao sisi kwawingi wetu tupambane bilaivyo huyu mnyarwanda mafwele atatumaliza watanganyika kwa sasa tuamue kama wakoma tukinyamaza tutakufa tukiingia barabarani tutakufa basi nawasii watanganyika twendebarabarani mo29
@Sativa255 tunapo laumu chama tunajua tupondani ya chama tukiingia kwenye bunge huru xtuna washauri ukimya wao unareta mashaka na Hawa ccm wakimariza vijana hodari wenye ushawishi tuamue Moja nyie wazee wakamati kuu mbaki pekeyenu acheni kuuza watoto wawezenu kama amtaki maandamano
@HecheJohn Wewe sasa ndio mwenyekiti achakulala mika chukua atua Kari juu ya Hawa maharamia Hawa awawezi kuwapa ushindi mezani ivi nivita shujaa wetu wamemteka uwezi kupewa ushindi na mafwele
@MariaSTsehai Acheni kuzunguka chama akichachukua hatua zakutosha lisu alisema waperekee moto siomkutano TU pamoja namaandamano wako wanalalamikatu kunakipindikile mboye amekamatwa Dar Dr silaa aliiti kesho kama ajamwa chiatufanye maandamano ya mitaani lakini sasa wameka
Bila tarifa ya mana
@MariaSTsehai Ilola mbeya asiongeree kabisa aende kwenye kabuli lakandolo alikuwa kama alivyokuja huyu ndomana mbeya kwawakatihuu inawasomi wengi mitaani wanajitambua sio wacheza mnanda
@IAMartin_@John_Pambalu Tuamue kuwapoteza watu wasipo nahatia kwa chama kunyamaza nakuendelea namikutano tubadiri mfumo wamapambano tuaze maandamano makubwayasio nakikomo mpakawezetu waachiwe wario uwa watu kwamaerufu wako mitaaniwatu wasipo nahatia wako jera chama kisikubari uhunihuu tangaza tarehe
@ChademaTZ2 Mtaisha bila kutumia akilituliwaambi apa kwenye bunge huru xmkubari chadema kufutwa au ccm kufutwa nakitu pekee kitakacho wasaidia nimaandamano TU yiyo mkutano ccm wanawacheka hamwenzi kuwa komboa wezenu kwamikutano hiyo mtasubili sana sana na rudia Tena mtasubili sana
@godbless_lema Nyie mnaongerea kenyakuwa kipindi cha udinga ondinga alikuwa anaitisha maandamano nayeye ana kuwa mbele sasa nyinyimnataka maandamano ya wanainchi bila kiongozi mtasubili sana kipimo kama nakubarika itisha maandamano muone kama wanainchi hawajatoka ndipo muwasimange watu wanajito
@am_gudie@njiwapori_ Hiyo jiwamongo sana watanganyika wariandamana yeye anasema wariandamana jkt mhongo sasa anakatisha tamaa Gz hafai anaonekana ivoma
@Sativa255 Hata mda wauo ngozi wa kikwete Dr silaa ange nyamaza bilamaandamano angekuwa anabiga mkutano kama akinalema atarasim yawarioba tusingeipata hii chadema ya mkutano haiwezi kumtoa lisu gerezani ccm sikuizi inaogopa maandamano TU tunanjichelewesha kwauwogawetu tangaza tarehe tu
@Twaha_Mwaipaya Nyiye chadema mnataka kusaidiwa nawanainchi lakini bila kutamka maandamano ya nchi Zima hamtafanikiwa kitu chochote Hawa watu wako hatua nyingine nyie mmebaki prepare kwenye mkutano hiyo mkutano ndiyo ccm wanataka acheni kubaki nyuma huo ndio ukweri mnaogopa polisi ccm mtakwisha