@SaumuYanga@HabiibYahyaa Kwa miaka mingi dini imetumiwa kwa siasa. Waumini wa kweli wameangamiza ktk hizo siasa. Binafsi sikubaliani wajanja wa siasa kwa kujificha kwenye dini. Mf. Jihad ipo kisiasa. Leo Shia anataka kumtawala Msuni. Ufalme wa kisuni unanyonga washia. Hatre, hatre hatre
@ErickKamihanda Hawakuenda wake zao na waarabu wanakula wanawake wao wote bila kubakiza. Hukumu ya kunyonga kwa atakayezini na kutokukunaliwa kuoa. Hata mpaka leo ukienda unakufa bila uzazi bila kuonja.
@HabiibYahyaa ๐๐ ndoto za mchana kweupe. Wale ni kama mamba kwenye maji, kanaonekana kakichwa tu, ila dubwana lipo chini ya maji. 80 ya Israel hawaishi pale. Huo moto utaanzamiza vizazi
@DaxiangelMusiQ@fbuyobe Pia askari ana utofauti na raia. Hakuna urafiki wala undugu wa kudumu. Adui ni mtu yeyote aliye kinyume kiapo cha askari na wewe una wajibu wa kumuondoa adui huyo.
@DaxiangelMusiQ@fbuyobe Confidence ya hatare, haogopi chochote kilicho mbele yake, wala haogopi mauti ya aina yoyote. Kila kosa linafuata wajibu na sio msamaha, kufa au kunyongwa au kufungwa au kuteswa. Hakuna msamaha wala kuhurumiwa wala usihangaike kuvitafuta.