Kuhusu Bidhaa Bora
Matokeo ya mwisho: Bidhaa Bora! ๐ Baada ya mchakato wote, tunapata korosho safi, kubwa, na zenye kuvutia. Hizi ndizo korosho zinazoenda sokoni na kuleta sifa kwa Tanzania. Ubora ndio kipaumbele chetu! ๐น๐ฟโจ #ValueAddition#BuyTanzania#AgriculturalIndustry
UNATAKA KUFAHAMU NINI KWENYE KOROSHO
Kutoka shambani! ๐ฑ Safari ya korosho bora inaanza hapa. Angalia jinsi mikoroshu ilivyoshamiri matunda (mkorosho na bibo). Hali ya hewa imetukubali msimu huu, matumaini ni makubwa! ๐๐งต #Kilimo#Korosho#Tanzania#cashewnuttz
Kuhusu Kubagua/Kusindika
Teknolojia rahisi, matokeo makubwa! ๐ช Wakulima wetu wanatumia mashine hizi ndogo na rahisi ("simple machines") kubagua na kubangua korosho. Ni mchakato wa kipekee unaohitaji umakini mkubwa ili kupata korosho nzima (kernels). ๐จโ๐พ๐ง
Unafikiria kuwekeza kwenye korosho? Usiishie tu kununua ardhiโjifunze elimu ya ugani, shirikiana na maafisa ugani wa eneo lako, na uwe karibu na shamba lako! ๐น๐ฟ๐ฑ
Matokeo ya Ruzuku: Salfa na viuatilifu vya ruzuku kutoka @wizara_kilimo na @CashewnutBoard kupitia vyama vikuu vya ushirika wanawapatia wakulima vinapunguza gharama za uzalisha Wakulima wadogo na vijana walioingia kwenye kilimo sasa wana uwanja sawa wa ushindani. ๐kwani ni free
Tunaweza kupambana na changamoto hii kwa:
โ Kupunguza matawi kuongeza hewa na mwanga
โ Kupiga dawa za wadudu na fangasi zilizoidhinishwa wakati wa kuchipua/kuchanua maua
Unatumia mbinu gani kuzuia hili?
@CBT_Tanzania @Wizara_Kilimo @TARI_Tanzania
#Korosho#Cashew#KilimoBora
Mbu wa mkorosho (Helopeltis) na ugonjwa wa baka (Inflorescence Blight) wanaweza kuangamiza hadi 100% ya mavuno ya korosho!
Mbu ananyonya utani na kuacha vidonda vinavyotoa mwanya kwa fangasi kukausha kabisa maua na korosho changa kuwa nyeusi. ๐งต๐
BRO TO BROโฆ
Kama bado unajitafuta kwenye haya maisha kaa usome hii mpaka mwisho.
Hakuna anayekufundisha haya shuleni.
Na ukielewa haya mapema utajiokoa miaka mingi ya kupoteza muda.
Twende hatua kwa hatuaโฆ
A Thread:๐งต