๐จ๐๐๐๐๐๐
Kocha Hansi Flick alizungumza na Lamine Yamal kuhusu bendera ya Palestina. Hii ilitokea baada ya parade ya ubingwa wa La Liga mnamo Mei 11, 2026. Lamine Yamal aliomba bendera ya Palestina kutoka kwa shabiki mmoja, kisha akaipunga kutoka kwenye basi la wachezaji mbele ya mashabiki.
Katika mkutano na waandishi wa habari Mei 12, 2026 Flick alisema hivi..!
โHayo si mambo ninayopenda kawaida. Nimezungumza naye. Nikamwambia kama anataka kufanya hivyo, ni uamuzi wake mwenyewe. Ana umri wa kutosha. Ana miaka 18.โ - Alisema Flick
Flick alisisitiza kuwa anapendelea kuzingatia mpira tu wakati wa sherehe, na si vitendo vya kisiasa. Hata hivyo, hakumkataza wala kumwadhibu Yamal.
#MeaMswahiliUPDATES
๐ฅKuna Nyakati GEITA GOLD ya GOLD ilikuwa na double pivot ya Yusuph Kagoma na Kelvin Nashon
Katikati six zilikuwa zinatembea na Boli linatembea watu wazima wote kariakoo na Mzizima hakuna aliyependa kucheza dhidi ya Hawa jamaa
Utofauti mdogo kati Yao Nashon analijua eneo la juu
โ๏ธMara ya mwisho Bao la Kona walifungwa Yanga SC na Shiza Kichuya aliyejiunga Simba SC akitokea Mtibwa Sugar
Ismael Mhesa wa Mtibwa Sugar amefuata vyema nyendo na mafunzo ya kaka'Ake kufanikisha vs Yanga SC tena
NB:Ilikuwepo faulo pale dhidi ya Diarra