.
Wiki Hii tulikuwa TANGA kumpatia mteja wetu huyu huduma ya UHAMILISHAJI (ARTIFICIAL INSEMINATION).
Mteja alikuwa hana dume na alikuwa ameshajua kuhusu huduma yetu kwa muda mrefu Sasa. Huduma ilienda vizuri na aliweza kufanya timing vizuri ya joto la kusimama.
#nguruwe#phema