Sijui kwanini; Kuna watu usipompa "shkamo" ukawa unamwambia "habari yako" au "za leo" kuna namna atakuheshimu.
ila ukimuanzishia "shikamoo" basi ndo umeharibu, anaanza kukuona katoto kabisaa!! 💔💔
#TajiriLaKihaya
Leo HANDO kawa mkali saaana😅😂
Jamaa CHADEMA Ikitajwa huwa anakua mwehu…
Good Morning ya WASAFI Wamemhoji huyu Mzenji kikatili saana aisee…
Alafu nmenotice kuna utofauti mkubwa saana - wanapo mhoji mwana CCM na wa Vyama vingine💔