Haicost chochote kumsalimia mlinzi/ mfanya usafi na kumuaga kwa kumwambia asante, pale unapoenda ofisi yoyote.
hujui tu vile hujisikia amani pale unapojali uwepo wake.
Another 365.25 days around the sun , gone!..
Am grateful !!
Thanks for ya birthday wishes!....
Sasa sio tu MTU WA MAKAMO,
bali niite JITU LA MTUMBA!..๐๐
๐โ๏ธ
#BirthDay#NakapanyaStyle
Kulikoni kwa mwimbaji Paschal Cassian, aliyefahamika kwa muziki wa Injili, baada ya kutoa ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Instagram akitangaza kutotaka tena mazoea na urafiki na waimbaji wa nyimbo za Injili, huku akieleza uamuzi wake wa kuwa karibu na marafiki anaowaita wa kidunia?
Cassian, kupitia akaunti yake ya Instagram ya *paschal_cassian_official*, ameweka wazi kuwa hataki tena mijadala inayohusu maamuzi yake binafsi, akiwataka walokole, watakatifu na wachungaji kuheshimu msimamo wake na kuacha kumfuatilia kwa nia ya kumhubiria au kumhukumu.
Katika ujumbe huo, mwimbaji huyo amesema kinachomshangaza ni baadhi ya walokole, watakatifu na wachungaji kuanza kumshambulia kwa sababu ya maamuzi yake binafsi, akisisitiza kuwa hajawaomba watu hao wamshauri kuhusu maisha yake.
โNimetangaza mwenyewe kwamba sitaki tena mazoea, urafiki na waimbaji wa nyimbo za Injili. Kwa sasa nimeamua kuwa karibu na marafiki zangu wa kidunia, masera, wapagani na watu ninaojiona ninafanana nao,โ ameandika Cassian.
Ameongeza kuwa hajaitisha kikao cha maombi wala kuwaomba watu wamshauri kuhusu maamuzi yake, akieleza kuwa iwapo amepotea au amekosea, hilo ni suala lake binafsi na hataki mijadala ya Biblia kwenye ukurasa wake kwa sasa.
Kauli hiyo imeibua maswali kuhusu mabadiliko yanayoweza kuwa yametokea katika maisha ya mwimbaji huyo, ambaye amekuwa akihusishwa na muziki wa Injili. Hata hivyo, ujumbe wake haujaeleza sababu mahususi zilizomfanya afikie uamuzi huo wala kama ameachana rasmi na imani ya Kikristo.
Cassian pia amemtaja mtu anayemwita Nagwa kuwa miongoni mwa marafiki anaowahitaji katika kipindi hiki, akisema anataka kuwa nao, kuzungumza nao na kuendelea na maisha yake bila kulazimishwa kuishi kwa matarajio ya watu wengine.
โWalokole, nawaomba mheshimu maamuzi yangu kama ambavyo nimeheshimu nafasi yenu kwa miaka mingi. Sijawaita kwenye page yangu kuja kunihubiria wala kunihukumu,โ ameandika.
Katika sehemu nyingine ya ujumbe huo, Cassian amesema hana ugomvi na mtu yeyote, lakini hataki tena watu wanaowahusisha na maisha ya kidini kumkaribia kwa lengo la kumshawishi abadili msimamo wake.
Kauli hiyo inakuja huku kukiwa na maswali kuhusu mwenendo wake wa sasa, ikiwemo video inayodaiwa kuonyesha akivuta sigara, jambo ambalo linaweza kuwashangaza baadhi ya mashabiki waliomfahamu kupitia muziki wa Injili. Hata hivyo, video hiyo na ujumbe wake vinapaswa kutazamwa kama mambo tofauti, bila kuhitimisha moja kwa moja kuwa ameachana na imani yake.
Kwa sasa, swali linalobaki ni nini hasa kimebadilika katika maisha ya Paschal Cassian na kama uamuzi wake ni wa kujitenga na baadhi ya watu wa dini kutokana na uzoefu aliopitia, au ni mabadiliko mapana zaidi ya mtazamo wake kuhusu maisha na imani.
Mpaka sasa, katika ujumbe huo, Cassian amesisitiza zaidi haki yake ya kufanya maamuzi binafsi na kutaka yaheshimiwe, bila kueleza kwa kina sababu zilizomfanya achukue msimamo huo.
From Freelancing to Building SHAFANA CREATES LIMITED.
After Ten years in Digital Content Creation, Photography, Social Media Management, and Strategic Communications, Iโm excited to begin a new chapter by building my own Creative Company.
Throughout my journey, Iโve had the privilege of working with International and Local Brands, including AS Roma FC, CAF, Freedom House, ILO, UN Women, Emwani Cafรฉ, and many others.
My work with AS Roma FC also demonstrated the Power of Strategic Social Media and Digital Storytelling in Football, inspiring Tanzanian Football Clubs to invest more seriously in their digital presence and follow the path I helped pioneer in football social media communication in 2019.
In 2026, I established SHAFANA CREATES LIMITED, a Tanzanian Marketing, Media, Advertising, and Digital Company, turning years of experience and passion into a new Business Venture.
Our Services include Photography, Videography, Event Coverage, Documentary Production, Digital Content Creation, Social Media Management, Marketing, and Brand Communication.
Have a Story to tell or a Brand to grow? Letโs Create Something Impactful Together.
๐Website: https://t.co/NbaV5Hxyps
๐ฑOur Social Media Platforms: https://t.co/7RFa7wUpwK @shafanacreates
SHAFANA CREATES LIMITED โ Your story, our creativity.
This happened this week, not in a movie. It's the passing-out day for one of Tanzania's elite forces. Looking closely someone holding Tavor TAR-21 /Gilboa DBR Snakeโฆ