Inyuma Yimvururu Iguma Ibera Muruganda Rw'umuzik. wacu Kuri Bakuru Kidumu Na Vichou love
Umuririmvyi Vichou Love Atakuzuyaza Yahisemwo kurekura kurekura Imwe mundirimbo Ziwe zari muri Arubumu Album ni indirimbo Yafashanij n'umuririrmvyi mugenzi we Arnovic
https://t.co/LkrdRUv60p
✨🇧🇮 Kirisese ya @satb257 imebahatika kuingia kwenye Tuzo za Afrima - All Africa Music Awards 2025 huko Nigeria 🏆🌍.
Sat-B ndiye msanii pekee kutoka Burundi 🇧🇮 aliyechaguliwa katika kipengele cha BEST MALE ARTISTE IN EASTERN AFRICA 🙌.
Hii ndiyo ahadi ya msanii @ibraah_tz 🇹🇿aliyoweka mbele ya wazazi wa mkewe Hafsa, nchini Burundi 🇧🇮 ahadi ya upendo, kumlinda mpaka atakapo sema basi , heshima, na uaminifu wa maisha
https://t.co/VHTMnksedZ
nitengenezeye caption kama iyi : Uku Niko Etat Civil 💍 Ya Dj Fernando +257 Nurubavu Rwiwe #Bellisima 💝 Yagenze!.
Ubona Batari Bashajije?
Nfasha Tubipfurize Urugo Ruhire!.
@dj_iraa sasa ni Raia Halali wa Rwanda!
Tarehe 15 Aprili 2025 imebaki kuwa ya kihistoria, baada ya maombi yake kukubaliwa rasmi na Mheshimiwa Rais Paul Kagame, kumtambua kama Mnyarwanda wa kuzaliwa upya.
#Weliveforit#Platformshow