@CloudsMediaLive Fundi bomba
Wataalam wa mifumo ya maji safi na taka kwenye majengo💦 tupigie leo +255768847877 TUNAPATIKANA KAHAMA MANISPAA MIKOA YOTE TUNAFIKA🤝
Kazi inatangazwa. Social Media Content Creator anahitajika!
Huna experience, huna connnections. Ila kwa vile we sio muoga, kwenye CV unajinadi kwamba uta create engaging content kwa kutumia AI tools tofauti.
Kimasihara unaitwa kwenye interview, unaulizwa how?
Let's see....
🧵