"Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao." - Kamati ya Maudhui ya TCRA
Angellah Kairuki, Mwenyekiti Kamati ya Ushauri ya Kitaifa ya Utekelezaji wa Ahadi za nchi kuhusu kizazi chenye usawa yuko live kupitia Clouds 360 ya Clouds TV