Kumbuka wapendwa kuna siku tutaondoka tutabadilishwa mwili alafu tutanyenyuliwa tutakutana angani wale wenye moyo safi tutashiriki kalamu ya mwanakondoo wa Mungu, tutaanza na kutamba katika anga paradiso tumeshonda ya dunia tumeuwhonda ulimwengu by E.R.Mwansasu
Tunapopitia Shida wengi wanafikiri hatuna Mungu
Lakini siku moja ipo watajua tunaye Baba
Tunapopitia mateso wengi wanadhani hatutashinda lakini siku moja ipo watajua tunaye Mungu.
Tusikate tamaa @MarthaMwaipaja
We survive, where no one else survive
We pass, where no one else passes
There's no weapon formed
For me and you that will prosper
When God is on our side!
Huu Uzi Unatoa Mafunzo mengi before hujapanga Nyumba au kununua iombee kwanza ikiwezekana Muulize Mungu ni sehemu sahihi ya Kuwepo wewe hapo otherwise ni balaa
Yesu nina Haja Nawe.
Ee Bwana utete nao wanaoteta nami upigane nao wanaopigana nami shika ngao na kifao na usimame eeh mbele yangu unisaidie,
Yesu nina haja na wewe sihitaji kitu kingine duniani shida mateso dhambi nimechoka nayo Baba usiniache niko peke yangu Baba.