Asante sana ndugu yetu @mkandamizaji kwa kuona fursa kubwa Tanzania. Sisi @Pride_xpress tunatoa huduma za usafirishaji w mizigo mbali nchini Tanzania na nje kwa gharama nafuu kabisa.
KARIBU TUKUHUDUMIE
#OurPrideIsToServeYou
Visit our Profile for more info
-Kuna Kijana Muuza Duka Ametiuzia Unga.
-Kijana Muuza Genge ametuuzia Viungo
- Dada anaitwa @evemuheto ametuuzia Spieces
-Kuna Mama Muuza Mbogamboga Naye
-Kuna Kijana pale Ferry katuuzia Pweza
Ukinunua Sahani hii ya chakula TZS10,000 unakuwa umegusa maisha ya wengi
-0769618388
Kama Ndo Unajiandaa Kutoka Job Mida hii Na Maybe Mchana Ulikuwa na kazi nyingi Ukaskip Lunch....Or Maybe Unataka Upate Kitu simple for your Dinner.
This Package will be the Best for you..-Pweza Makange With Veg Chips Yai for 12,000 Only.
-0769618388