I saw a very small child last week and I was shocked when he told me hes in form 3. Yani ata nilishangaa bwana. What has happened to our genetics? Mimi unajua wakati niliingia form one,wale form 4 nilipata kule walikua ata hawakai wasomi,wanakaa wafanyi kazi. Form 4 ako na ndevu ya white! Wengine wako na ata kipara,saa ingine ata nashindwa kutofautisha mwalimu na mwanafunzi,najipata nimepelekea form 4 assignment
Kulikua na Form 4 sasa ata walikua wazazi. There was a neighbouring primary school,sasa kukiwa na parents meeting unaona form 4 wengine wanapita gate ya nyuma,wameenda parents meeting. Wengine walikua wanaenda kwa principle friday jioni,wanapewa leave waende nyumbani kuangalia familia zao. Bwana we used to be big,mtoto wa form 3 anakaa ako class 2,ata dalili ya ndevu hakuna jameni. GMO imetumaliza akiangai