Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO.
Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA.
REPOST 200
Fr. Dr. Charles Hugo Kitima (BSc, MSc, PhD), Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) alivamia katika makazi ya Maaskofu Katoliki, Msimbazi Centre na akajeruhiwa katika jaribio la kumuua. Waliofanya hivyo hadi leo hawajamatwa. Unatarajia TEC wasitoe TAMKO?
Kwamba mnataka watu wakubali kutekwa na kuuwawa kwamba ni jambo la kawaida!!!
Wakikataa utekaji unasema wanaleta vurugu sio?
Yuko wapi Polepole, Mdude, Soka, Kipanya na watu maelfu mliowateka?
Kama wana makosa kwanini msiwashitaki mahakamani?
Mnaiba uchaguzi, watu wakipinga mnasema wana uchu wa madaraka!!!
Kwamba wewe unaeiba kura, kufoji na kuua watu ili ujitangaze bila ridhaa hauna uchuโฆ Lakini anaekuambia rekebisha sheria tushindane kwa haki ndio mwenye uchu sio? Hivi mnaona Watanzania kama vile hawana akili!!!
Kwasababu ya uchu ndio maana mnataka kuchochea udini kwa faida yenu lakini sio kwa faida ya Watanzania..