๐จUnataka kujua kwanini Hamis hataki kuacha kutumia Toyota LC V8 Series 200 atumie Toyota Hilux ?...
.
Hizi gari zinakupa safety, comfort na reliability, ukitaka ukosane na waserikali waambie waache kuyatumia...
.
Hawachelewi kukwambia kama huwezi ishi Tanzania hamia Burundi...
@gabrielmachra @Kwako_Jesse Ali anzisha watsap grp aka sema watu watoe 2k ya kiingilio akatoa mkeka mmoja ukatik akasema wadau waongeze kiwango cha kiingilia skumbuk how much ila baada ya hapo aka amsha ikabak stry ๐ ๐ ๐