HAKUNA FELLING NZURI TAMU KAMA UNAPITIA MAJARIBU MENGI'' ALAFU INASKIA MTU ANAEKUPENDA ANAKWAMBIA PAMOJA NA MAGUMU YOTE MIMI BADO NIKO KWA AJILI YAKO ๐ค
KUNA WAKATI NDUGU /MPENZI /RAFIKI HATA WATEJA WATAJITENGA NA WEWE SIO KWAMBA HUFAI KWAO HAPANA BALI MUNGU ANAKUFUNZA KUISHI BILA WAO || NA ALAANIWE AMTENGEMEAYE MWANADAMU ๐
Unaweza tumia siku moja kumdharau mtu lakini ikakugharimu miaka kujutia kwanini ulimdharau maana alivyo jana sivyo atakavyo kuwepo kesho.๐ฃโโโ. . . . .