Heri ya Siku ya kuzaliwa Bibi,le Boss, Madam Climber
Mnazinwa wanazi THE QUEEN OF CLIMBERS.... MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANAA sisi kama wanazi tupo pamoja na ww.....
#HABARI: Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 Majeruhi,katika ajali iyohusisha basi Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya safari yake kutoka wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara, kuelekea jijini DSM.
Waliofarikiπ12Abiria
Watembea Kwa miguu π2
Dubwana la kutisha Pacha wa DHY Unaambiwa hili BYUTI BYUTI na HIGER White panther linaloogopwa Zaid Kusini Kwa kujali muda na huduma Rafiki Kwa wateja/Abiria
For people who like taking photos in such scenes, one day someone will take a photo of someone very dear to you and then spread it on the Internet
That day is when you'll tell us how it feels..........
#UPDATE β οΈ
BARAKA CLASSIC Higer yapata ajali wilayani Newala..π’
Poleni wahanga wa ajali hii.... ingawa hatujapata taarifa kamili juu ya chanzo Cha ajali za majeruhi.
Aina mbili tofauti,kichina iliitwa JIEFANG CA 141,bongo tukaibatiza jina la Jafongo kijapan iliitwa ISUZU TX with direct Injection Bongo tukaibatiza jina la ISUZU injection Hizi ni gari maarufu saana kwa kubeba kuni ktk shule nyingi za secondary Au takataka ktk baadhi ya miji
@Mvuvi_Nyasa URO- urosynamic ( kuangalia mfumo wa mkujo "lower urinary tracks"
GLU- blood glucose test (sukari mwilini)
BIL- bilirubin test (bilirubin mwilini)
KET- ketamine detection test
S.G - range ya specific gravity kwenye mkojo
BLD-blood in urine (kiwango cha damu kwenye mkojo.
π