We wish you a very happy holiday season and a peaceful and prosperous new year.
Thank you so much for using our application for your trip within Dar Es Salaam,Arusha and Mwanza.
#Transport at your finger tips https://t.co/4Mv1sJonjU
#Repost in_arusha with kimcy929_repost
• • • • • •
Here's our discount partner!
Use @Quitax4 for all your trips. To & From the event after you SIP & REPEAT for the gram.
#inarusha#quitax#forthegram
.
Ride with… https://t.co/GQgEJv9wzi
Habari njema kwa mpendwa abiria wetu wa Quitax, Sasa unaweza kupata usafiri bila kuwa na smart phone. Unachotakiwa nibkupiga simu hapo juu👆 na kusema ilipo na unapoelekea, Dereva wa Quitax atakufikia na… https://t.co/v0vxAOFp6w
Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam Quitax inakupa usafiri wa kukufikisha popote pale GPS inasoma kote. Pakua Sasa ufurahie usafiri wa uhakika na salama. #niyawatanzania https://t.co/RTlfpDtPXQ
Uongozi wa Quitax umepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa ndugu zetu wafanyakazi wa Azamtv. Tunatoa pole kwa ndugu jamaa, marafi na wanafamilia. Mungu azilaze Roho za marehemu Mahali pema Peponi. https://t.co/s0j9Ut47Mx
Quitax inafika wilaya zote za Dar es Salaam. Kigamboni, Ubungo, Ilala, Temeke na Kinondoni usafiri wa Quitax unakufikisha mpaka mkoa wa Pwani #quitaxtz#usafirikiganjanimwako#usafiriwauhakika https://t.co/Yiej7CWZ18
Leo mashindano ya AFCON yanaanza. Quitax inaungana na Watanzania wote kuwatakia Kila la Kheri wachezaji wetu katika mashindano. #afcon2019#nizamuyetu#Tanzania#quitaxtz https://t.co/bS3AWLLIkI
Watu wetu wa Mwanza Quitax imeshafika. Pakua App yako Leo upate huduma zilizo Bora na za uhakika. Quitax usafiri kiganjani mwako. Pakua..Jisajili..Agiza
#quitaxinRockCity#quitaxtz#ridewithclassy… https://t.co/1565ewkWKR
Pakua App ya Quitax, usafiri unaokufikisha mahali popote mpaka Pwani unafika...
Kibaha, mbagala, Bagamoyo, Kigamboni kote Quitax inakufikisha. #quitaxtz#usafiriwauhakika#usafirikiganjanimwako https://t.co/aPxWKpHFvU